What's Trending?

Labels

Ads

Wednesday, June 17, 2015

GAVANA ALIYEOA BINTI MDOGO.. AFUNGUKA MAZITO HII NDIYO SIRI YA MAPENZI YAO KUMBE NDIO SIRI HII

http://newngrguardiannewscom.c.presscdn.com/wp-content/uploads/2015/05/Oshiomole-weds.jpg 
 “Msichana ambaye Mungu amleta kwangu kumuoa hakuwahi na si mlimbwende. Of course, ni mrembo na naelewa kwanini watu wanadhani msichana wa aina hii anaweza kuwa
model, of
course, ni model moyoni mwangu na tuna tumaini na kuomba kwenye moyo wa Mungu wetu na
nadhani hicho ndio kitu muhimu.” Gavana huyo ana umri wa miaka 63 huku mke
wake huyo mpya ana miaka 36. Mrembo huyo ni raia wa Cape Verde na alifunga naye ndoa weekend http://media.premiumtimesng.com/wp-content/files/2015/05/860x586xDSC_2299.jpg.pagespeed.ic.k9FtpVlClu.jpg  Gavana wa jimbo la Edo la nchini Nigeria, Adams Oshiomhole, amemuelezea mke wake, Iara, kama

mlimbwendwe kwenye moyo wake na kwamba si kwamba hajamuoa kuziba pengo la mke wake
aliyefariki. Akiongea kwenye misa ya shukrani kwenye kanisa la Immaculate Conception Cathedral, Auchi, Jumapili iliyopita, Oshiomhole alizipuuzia ripoti kuwa mke wake ni modelmaarufu na kudai kuwa maneno hayo yametokana na urembo wa mke wake. “Ninaposoma habari za kwenye magazeti na wanasema kuwa Comrade ameoa ‘mlimbwende’ mimi nasema labda ni mtu mwingine,” alisema. 

http://newngrguardiannewscom.c.presscdn.com/wp-content/uploads/2015/05/Oshiomole-weds.jpg “Msichana ambaye Mungu amleta kwangu kumuoa hakuwahi na si mlimbwende. Of course, ni
mrembo na naelewa kwanini watu wanadhani msichana wa aina hii anaweza kuwa model, of
course, ni model moyoni mwangu na tuna tumaini na kuomba kwenye moyo wa Mungu wetu na
nadhani hicho ndio kitu muhimu.” Gavana huyo ana umri wa miaka 63 huku mke
wake huyo mpya ana miaka 36. Mrembo huyo ni raia wa Cape Verde na alifunga naye ndoa weekend 

iliyopita. Ndoa yao ilifungwa mbele ya wageni akiwemo rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na mtu tajiri zaidi Afrika, Aliko Dangote

No comments:

Post a Comment