
Buterere 1: AbdulNdayizeye, anayejulikana kama mwanamemba wa Rwasa aliuwawa.
Kwa mujibu Aimé Magera, msemaji wa Agathon Rwasa, marehemu Abdul Ndayizeye aliuwawa usiku nyumbani kwake alikuwa mwakilishi wa FNL Buterere.
kutokana na kitendo hiki Magera anamtuhumu "Imbonerakure, akishirikiana na polisi wamefanyashambulio hilo.Mtoto wa mwakilishi wa FNL alijeruhiwa vibayakwenye tumbo.
Kwa mujibu wa Aimé Magera, Abdoul Ndayizeye ‘’alitetea haki yake sambamba na warundi wote ambao wanataka heshima kwa makubaliano ya Arusha’’.
msemaji wa polisi, amekana madai yote. Kwa mujibu waDenis Karera, rais wa Umoja wa Vijana Imbonerakure CNDD-FDD chama tawala,amesema kwamba shutuma hizo hazina msingi ni kawaida hata kama ni waalifu basi wataesema tu ni vijana Imbonerakureiili kukidhi maslahi ya watu binafsi.
Kibenga: Toyota TI kuchomwa moto
Kwa mujibu wa mashahidi, kuna aina ya gari Toyota TI iliyokuwa Kibengakwamba ilipaki mahali hapo kwajili ya upepelezi ya kuwatambua vijana ambao wanazidi kumpinga raisi kutojichagulisha kwa mara ya tatu. Waandamanaji walipo tambua ilo basi walishambuluia gari ilo na bahati mbaya gari Toyota aina ya ya TI inamilikiwa na mtu maalum jina lake Asmani Batungwanayo. dereva ameshinda gisi ya kutoka kwa maana waandamanaji wamekua na hasira sana kwamaana kuna baadhi ya waandamanaji wanakamatwa na kupelekwa mahali amabapo apajulikani. Baada ya gari kuteketezwa baadae Shirika la Msalaba Mwekundu imewasili na mtu huyo kupelekwa haraka hospitali ya kijeshi Kamenge.

Mtu kupigwa na polisi
Eric Musabanganji ni mwenyeji wa Kibenga amesema kwamba eko na mawasiliano mabaya na maafisa wa polisi kadhaa. Kulingana na yeye, ilikuwa saa moja wakati gari mojaimechomwa moto na watu wasiojulikana.Polisi walimtuhumu kama ni yeye ndiye mwahalifu, maafisa hawo awakutaka kusikiliza hoja yake na kila mara akiongea alinyeshewa makofi kila mahali.Kuna mwanamke ambaye alijaribu kutoa ushahidi kwa niaba yake aikusikilizwa na kuendelea kumpa vipigo.
Eric Musabanganji kwasasa hali yake ni mbaya sana na amedai kuwa polisi wampe pesa 30,000 zilizoibwa wakati polisi zilikua zinampiga.
Eric Musabanganji kwasasa hali yake ni mbaya sana na amedai kuwa polisi wampe pesa 30,000 zilizoibwa wakati polisi zilikua zinampiga.
![]() |
| Eric Musabanganji |

No comments:
Post a Comment