Emanuel Adebayor amerudi nchini kwao Togo na kufanya kazi zake kwenye foundation yake ambayo inasimamia project mbalimbali za kijamii nchini kwao.
Kwenye moja ya matukio ya kukusanya pesa kwa ajili ya foundation yake yamefanyika. Moja ni mechi kati ya timu ya taifa ya Togo Vs Liberia. Kitu cha pili ni tamasha la muziki ambapo msanii Wiz Kid alifanya show.
Baada ya show hiyo ilifanyika after party kwenye nyumba ya Adebayor na mchezaji Asamoah Gyan na mdogo wake walienda kwa suprise. Hizi ni picha za tamasha hilo
No comments:
Post a Comment