Waziri wa Kilimo na Mifugo Mwigulu Nchemba amefanya ziara ya Kushtukiza saa saba usiku wa kuamikia leo katika Machinjio ya Ukonga Mazizi.Baada ya kubaini hali hiyo,Waziri Nchemba ameufukuza uongozi wote wa machinjio hayo na kuagiza vyombo vya dola viwakamate viongozi wote waliohusika na kuwafikisha mahakamani.




USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment