Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda siku ya jana aliwaweka ndani kwa muda saa sita maofisa ardhi zaidi ya 10 huko Kawe baada ya kuchelewa kufika eneo walilokubaliana kukutana.Siku ya juzi Jumanne , DC Makonda alikubaliana Maofisa hao kufika eneo la
Nakasangwe Kata ya Wazo leo asubuhi kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa ardhi lakini wao wakafika saa 5...Check video hapo chini
Nakasangwe Kata ya Wazo leo asubuhi kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa ardhi lakini wao wakafika saa 5...Check video hapo chini
No comments:
Post a Comment