What's Trending?

Labels

Ads

Monday, June 8, 2015

20 PARCENT ALAUMU MAPINDUZI YA KIDIGITALI NDIO YALIYO MPOTEZA KIMUZIKI

Akizungumza na kuluti mc kupitia blog ya africanmishe.blogspot.com 20 parcent ameweza kufunguka na kusema kuw mfumo wa utandawazi ndio ulio mfanya asiweze kufanya vizuri kipindi hiki kwa sababu zamani wasanii walikuwa wana tegemea nyimbo zao kupereka kwenye radio na TV tu ila sasa hivi kuna mitandao ya jamii mingi inayo fanya vizuri kuliko RADIO na TV  so iyo ndio changamoto kubwa anayo kumbana nayo sasa ivi coz anatumia muda mwingi kutafuta marafiki kwenye mitandao ya jamii ili aweze kurudi upya kwenye mziki

No comments:

Post a Comment